IELRC.ORG - East Africa
 
 
 
Research Areas Africa

 1: biodiversity & biosafety
 2: biotechnology
 3: intellectual
property
 4: governance

 5: gender

Special African Dossier
Wildlife

CHUO CHA KIMATAIFA CHA UTAFITI WA SHERIA ZA MAZINGIRA (KENYA)

Kenya ni nchi muhimu katika eneo kubwa pembeni mwa Afrika. Imezingirwa na nchi zinazohitilafiana kila kukicha. Kenya imeweza kudumisha amani hivi kwamba imesaidia kuweko na vikao vingi vinavyojadili uwezekano wa kuwa na amani kati ya jamii fitini ya Somalia na Sudan. Makao makuu ya UNEP (Shirika la mazingira la umoja wa mataifa) Nairobi, imewezesha kuinua sheria za mazingira kwa upeo wa kutamanika.

Lengo letu ni kuona kwamba kiwango cha kutokuwa na uadilifu kimedunishwa, hivi ni kusema kwamba, kazi yetu yalenga kusawazisha na kuweka maadili mema katika kiwango cha kimataifa, taifa, nchi hadi kwa watu binafsi.

IELRC (Chuo cha kimataifa cha utafiti wa sheria za mazingira) yataka kuongea kuhusu mazingira ikilenga taifa na kimataifa kuhusu mazingira, Kenya ikiwa mwanachama, mazungumzo ya IELRC yanapatanisha eneo la karibu na ya kitaifa kwa mashindano duniani.

Kando na utafiti wa mazingira, ofisi ya Kenya ya IELRC pia inatafiti kuhusu jinsia, elimu na habari za ufundi kuhusu uzima na haki za kumiliki. Tunapatanisha maongezi haya kwa nyanja tofauti ili tupate mahali timamu pa kumbukumbu. Kwa sababu hiyo, kufikika kwa mali ya kimazingira kwa wanawake ni jukumu letu. Kwa mapana kama vile kufikika kwa teknolojia mpya kwa nchi zinazoendelea na vitongojini vya wakulima.

Kama sehemu ya ufunzaji wa IELRC, mkurugenzi wa utaratibu wa IELRC Kenya, ni mwanachama wa wasaidizi wa chuo katika kituo cha sheria, chuo cha Nairobi. Mfululizo wa somo anazofunza ni: Sheria za mazingira za kimataifa, teknologia ya uzima na sheria: Sheria wazi, wanawake katika harakati za kutafuta uhalali, sheria na maendeleo pia, yeye ni kati ya wanaofunza chuo cha utafiti cha kusini na mashariki mwa Afrika kuhusu sheria za wanawake katika chuo kikuu cha Zimbabwe ambapo anafunza somo kuhusu mapatano ya mali kwa wanawake.

Ili kuzijenga zaidi sheria za mazingira , mkuregenzi wa IELRC anaongoza wanafunzi katika cheo cha mhitimu na wanaojiunga na chuo kikuu ikilenga IELRC eneo inayohusu hoja inayoangaziwa. Pia anafanya kazi na wanafunzi binafsi kama msaidizi wa utafiti.

Yanayoangaziwa kwa sheria za kimazingira ni kuhusu sheria na matumizi tofauti katika elimu ya uzima na asili yake;haki ya umiliki wa mali ya kimazingira jukumu la maafikiano ya kimataifa ya kimazingira kuhusu ardhi na umiliki wa mali, mazingira, kutofautiana na ushirikiano. Jukumu la serikali katika upangaji wa mipaka tofauti ya mali ya maji ikiangaza mto Nile ni: Kuandika waziwazi kuhusu nguvu za mazingira zinazohitilafiana katika eneo la maziwa makuu. Maafikiano, sheria za wanyama mwitu na mashauri yanayoangaziwa ya jinsia na kufanya sheria na mashauri ya matengeneo; kufikia uzuifu na umiliki wa ardhi na mali, kupigania mazungumzo kuu na kubadilisha mtindo juu ya haki za wanawake hadi kwa mali na ardhi. Mgogoro kati ya desturi na isiyo ya kawaida na kutilia nguvu chama na matokeo yake kwa haki za wanawake katika shughuli za ukulima na jamii ya wafugaji.

Yanayoangaziwa katika teknolojia ya uzima ni matokeo ya kujua uzuifu wa uharibifu wa mali, na kufikika kwa teknolojia ya uzima kwa wakulima wadogo wadogo. Njia za uzuiaji wa mabadiliko wa kizazi cha vitu vyenye uhai katika nchi za Afrika na msingi halai wa kustahili na kulipia haki katika utafiti wa teknolojia za uzima, maendeleo na uchumi katika Afrika.

Patricia Kameri-Mbote
Programme Director
East Africa

Recent Publications

 

Kenya: Justice Sector and the Rule of Law

author(s): Patricia Kameri Mbote & Migai Akech
source: Johannesburg: Open Society Initiative for Eastern Africa
date: 2011
publication: academic
abstract full text 1706 [KB]
 

Courts as Champions of Sustainable Development: Lessons from East Africa

author(s): Patricia Kameri-Mbote and Collins Odote
source: 10/1 Sustainable Development Law & Policy (2009), p. 30-8, 83-4
date: 2009
publication: academic
abstract full text 547 [KB]
 

Water and Food Security in the Nile River Basin: Perspectives of Governments and NGOs of Upstream Countries

author(s): Patricia Kameri-Mbote and Kithure Kindiki
source: in H.G. Brauch, P. Kameri-Mbote et al. eds, Facing Global Environmental Change - Environmental, Human, Energy, Food, Health and Water Security Concepts (Springer, 2009), p. 651-59
date: 2009
publication: academic
abstract full text 1369 [KB]
 

Kenya (Role of the Judiciary in Environmental Governance)

author(s): Patricia Kameri-Mbote
source: L.J. Kotze & A.R. Paterson eds, The Role of the Judiciary in Environmental Governance: Comparative Perspectives (Kluwer Law International, 2009), p. 451-78
date: 2009
publication: academic
abstract full text 1939 [KB]
 

Trouble in Eden: How and Why Unresolved Land Issues Landed ‘Peace-full Kenya’ in Trouble in 2008

author(s): Patricia Kameri-Mbote & Kithure Kindiki
source: 35 Forum for Development Studies (2008), p. 167-93
date: 2008
publication: academic
abstract full text 1713 [KB]
 

Separating The Baby From the Bath Water: Women's Rights and the Politics of Constitution-Making in Kenya

author(s): Patricia Kameri-Mbote & N. Kabira
source: 14/1 East African Journal of Peace and Human Rights (2008), p. 1-43.
date: 2008
publication: academic
abstract full text 2546 [KB]
 

Following God's Constitution: The Gender Dimension in the Ogiek Claim to Mau Forest Complex

author(s): Patricia Kameri-Mbote & Jacinta Anyango Oduor
source: in Anne Hellum et. al, Paths are Made by Walking: Human Rights Interfacing Gendered Realities and Plural Legalities (Harare: Weaver Press, 2006).
date: 2006
publication: academic
abstract full text 99 [KB]
 

Women, Land Rights and the Environment: The Kenyan Experience

author(s): Patricia Kameri-Mbote
source: 49(3) Development (2006), p. 43-48.
date: 2006
publication: academic
abstract full text 97 [KB]